Lemutuz Amkosoa Mh.Shonza, Ahusishwa Kufungiwa Kwa Wasanii na Bifu binafsi

Mambo ni moto, huku waziri mwakyembe akimtuhumu Diamond kulewa na umaarufu na kufanya abishae na Naibu waziri ambae anawakilisha Serikali, bado huko katika mitandao ya kijamii wata wamezidi kuonyesha hisia zao juu ya jambo hilo kwa kudai kuwa naibu waziri anatafuta kiki.

Mwanahabari wa Tanzania, le mutuz ameibuka na kudai kwa Naibu Waziri amekuwa akitumiwa na watu wenye chuki kubwa na muziki wa diamond ili kuua muziki wake na sio vinginevyo.Le Mutuz anasema kuwa  huu ulikuwa ni wakati wa serikali kuona mchango wa Diamond hasa baada ya kuchaguliwa kwenda kufanya show ya ufumbuzi wa kombe la Dunia.                                                                                                     

download latest music    

 

Lemutuz ambae amesema kuwa pamoja na kwamba Mh Juliana Shonza ni mwana CCM mwenzake lakini anaona kabis katika hili la kuwafungia na kubishana na Diamond katika mitandao ya kijamii haiwezi kunyamaza kimya.

Hata hivyo Lemutuz amemhusisha julana shnza na moja ya kiongozi wa kituo flani cha radio “MUNGU MTU” ambacho hajakitaja na kusema kuwa wamekuwa wakishirikiana hili kumtua diamond katika nafasi kubwa ya mafanikio ya kimuziki aliyonayo.

 

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.