Mastaa Walizwa na Msiba Wa Godzilla

Siku ya jana Msanii wa Hip Hop Golden Jacob maarufu Godzilla ambaye amefariki dunia usiku wa kuamkia leo akiwa katika hospitali ya Jeshi ya Lugalo.

Wasanii mbali Mbali Bongo wameonekana kuguswa na msiba huo wa ghafla kupitia  kurasa za Mastaa mbalimbali nchini wamefunguka na kueleza Jinsi walivyoguswa na msiba huo:

download latest music    

,

 

About this writer:

Diana

I am a hard working young woman Aspiring writer with dreams larger than life itself, always living by the principle that live today like there is no tomorrow.