Mazishi Ya Mke wa Kibonde, Bi. Sarah Kibonde (+picha)

Mke wa Mtangazaji wa Clouds Media, Ephraim Kibonde, Bi Sarah Kibonde, alizikwa siku ya jana katika Makaburi ya Kinondoni jijini Dar baada ya kufariki dunia siku chache zilizopita kutokana na Ugonjwa wa Kansa.

Msiba huo ulihudhriwa na mbalimbali akiwemo Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema, Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), Rogers Sianga, Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu, Greyson Msigwa, wasanii wakiongozwa na Lady Jaydee, wafanyakazi wa Clouds Media Group, ndugu, jamaa na marafiki.

download latest music    

Hizi ni baadhi ya picha za matukio ya msiba huo:

.

 

About this writer:

Diana

I am a hard working young woman Aspiring writer with dreams larger than life itself, always living by the principle that live today like there is no tomorrow.