Mwanadada Azungumzia Kuvunja Ndoa ya Abdu Kiba.

Mwanadada mchekesaji anaejulikana kwa jina la Martha anakanusha tetesi za kuwa amekuwa chanzo cha kuvunjikwa kwa ndoa  kati ya mwanamuziki Abdul Kiba na mke wake ndo ambayo ilifungwa miezi ya nyuma mwaka huu.

martha anasema kuwa pamoja na kwamba aliwahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi na msanii huyo hapo awali lakini hakuna ukweli wowote kuwa mpaka sasa wako pamoja na kwamba wamekuwa wakiwsiliana na mwanaume huyo lakini sio kwa nia ya kimapenzi.

download latest music    

Martha ansema kuwa hajawaikumtafuta abdul kiba hata siku moja zaidi ya mwanaume huyo kuwa  anamtafuta yeye kila mara.

Nilikuwa natoka nae lakini sio sasa, mara ningi amekuwa akinitafuta yeye lakini tangu nimetoka kwake nimekuwa na mahusiano yangu mengine tu,ndio nilikuwa nae kwenye mahusiano kwa muda mrefu tu lakini kwa sasa hapana siko nae tena na hata kuvunjika kwa ndoa yake sijui,tangu ameoa sijamfatlia ni yeye ndio amekuwa akinitafuta mara nyingi.-Aliongea martha alipokuwa kwenye mahojiano FNL

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.