Mwasiti Aongea na Nandy, “Akilewa Umaarufu Atapotea”

Mwanadada Mwasiti aliewahi kufanya vizuri sana katika muziki kwa miaka ya nyuma amefunguka na kumpa ushauri mdogo wake Nandy kwa kumwambia kuwa asije akalewa na umaarufu na sifa anazozipata kwa sabsa kutokana na kazi nzuri anayofanya basi akabweteka badala yake ajikaze ili kufanikisha kila siku.

Mwasiti ambae alimpongeza Nandy baada ya kuamua kuzindua album yake wiki iliyopita anasema kuwa asije akaona kuwa amefanikiwa sana maana mwisho wa siku atakuja apotee kabisa katika muziki.

download latest music    

Mwasiti anasema kuw akama sanii anakuwa na kipaji basi kupata umaarufu ni kitu cha kawaida sana na hakuna haja ya kuangaika kukiafuta zaidi ya kufanya kazi, lakini pia anaweza kupotea kama hatozingatia kuwa muziki unahitaji heshimaya hali ya juu sana ili kufika mbali.

Mimi ninamfahamu nady ni binti mdogo lakini mwenye malengo makubwa sana, na ninachojua kuwa ni mtu mwenye nidhamu lakini pia ni mtafutaji sana na pia yeye mwenyewe anajua kuwa anweza kwaio swala kubwa akiweka sifa hizo kichwani mwake basi tapotea mapema sana, kwa sababu hii kazi yetu ni lazima uipenda na kuiheshimu pia ndio unaweza kufikambali :- aliongea mwasiti alipokuwa akiongea na eNews ya EATV.

Lakini pia mwasiti anasema kuwa kama msanii unataka kutoa album sasa hivi kama wasanii wengi wamekuwa wakifanya basi wajipange kuzitangaza na kuzipromote kwa nguvu na sio kutegema media tu.

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.