Loading...

Mwijaku afichua itikadi ya chama ya Alikiba

January 18, 2019 at 08:32
Mwijaku afichua itikadi ya chama ya Alikiba

Msanii mwijaku ambae amekuwa akijizolea umaarufu sana katika mitandao kutokana na kusema na kuwachana baadhi ya wasanii wenzakke kwa yale yanayoendelea katika mitandao ya kijamii na pia katika maisha yao halisi  amefunguka na kumpa pole msanii mwenzake alikiba huku akitoa siri ya kile anachokiamini alikiba katika siasa.

Inawezekana ilikuwa siri au watu wengi walikuwa hawajui swala hilo lakini, msanii mwijaku amefunguka na kusema kuwa alikiba ni moja ya wakaereketwa wenzake wa chama cha mapinduzi CCM.

download latest music    

Akiongea alipokuwa anatoa pole kwa msanii huyo kufuatia kufiwa na baba yake mzazi mwijaku alisikikia akaisema “ninaomba kutoa pole  ndugu yenu, kada mwenzetu mpambanaji wa chama cha mapinduzi, manii nguli na pia rafiki yangu alikiba kwa kufiwa na baba yake mzazi na kwamba kila nafsi itaonya mauti na pia niwape pole ndugu na watu wote wa karibu wa familia  ya alikiba”

Hata hivyo alikiba amekuwa moja kati ya wasanii wachache sana wasiotaka kuonyesha itikadi zao za vyama au kutaa kuonyesha analalia upande gani zaidi katika siasa.

Loading…

Share

Comments

  1. Pole zetu

  2. Mwijaku nani amekuuliza sasa

  3. Mmbea kweli tabia kama za binti

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *


in Entertainment