Mwijaku Aingilia Kati Ugomvi wa Hamisa na Tahiya

Msanii wa maigizo nchini ambae kwa sasa amekuwa kama msemaji mkuu wa mambo mengi yanayotokea baina ya wasaii, mwijaku amefunguka na kumtaka tahiya aache kukurupuka na kutangazia watu vibaya kuhusu kuibiwa mume kama anavyosema yeye .

Mwijaku anasema kuwa ni dhambi kubwa sana kwa mwanamke au mwanaume kutangaza au kumuita mwanamke aumwanaume uliyenae katika mahusiano kuwa ni mke wako ilhali haujafunga nae ndoa ya kidini au kisheria.

download latest music    

Mwijaku anasema kuwa Tahiya anachofanya ni kumuonea tu Hamisa kwa sababu hata hamiasa pia ana haki ya kuwa na mahusiano na huyo mwanaume kwa sababu hakuna aliyeolewa kati yake na Tahiya.

Marufuku na haijathibitika katika kitabu chochote kile  kumuita mwanamke mke au mwanaume mume kama haijathibitika na pande zote mbili, …kitendo cha hamisa kutoka na mwanaume ni kama watu wengine anapambania nafsi yake katika mapenzi …tena maskini wa mungu kasema kabisa kuwa anampenda afanyaje

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.