Natamai kuona Diamond anaoa mk ambae watu hawamjui :-Chid Benz

Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Chid Benz amefunguka na kutoa maoni yake juu ya skendo na taarifa zinazosambaa katika mitandao ya kijamii kuhusu wswala la msanii Diamond platinumz kutaka kumuoa mwanamke kutoka kenya ambae kila siku harusi iyo iekuwa ikihairishwa.

Chid anasema kuwa anafurahi kuoa msanii huo anataka kuoa lakini anaamini kuwa mwanamke mzuri kwa msanii mwenzake niyule ambae sio maarufu wala hatokaa kutangazwa sana katika mitandao ya kijamii kama ilivyokuwa kwa wasanii nwenzake kama Alikiba ambae hakuna aliyekuwa anajua nani anaolewa na msanii huyo.

download latest music    

safi na hongera yake , yule ni mtoto wa kiiislamu swafi anatakiwa kuoa, lakini simfahamu vizuri yule binti na sijawahi kukitana nae, ila natamani naseeb aoe mtoto mmoja ambae watu wengi watakuwa hawamjui.

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.