Nikipenda Napenda Kweli :-BekaIbrozama

Msanii Beka Ibrozama amefunguka na kuongelea mahusiano yae na mpenzi wake na kusema kuwa katika maisha yake maekuwa na mahusiano na mwanamke mmoja kwa muda wa miaka sita sasa huku akisema kuwa katika maisha yake akipenda basi anakuwa amependa kweli.

Beka anasema kuwa katika mapenzi aliwahi kukaa na kuwaza kuwa katika mahusiano ataachana na wangapi mpaka apate yule anayemtaka yeye, na ndipo alipoona kuwa inabidi kuwa na mmoja na kuvumiliana na kufundishana ili kuweza kudumu na wao wameweza.

download latest music    

Niko katika mahusiano na mwenza wangu huu ni mwaka wa sita sasa, kinachonifanya kuwa nae mpaka sasa ni kwa sababu ya kumthamini na kumpenda,  maana kama kuacha utaacha wangapi.

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.