Picha ya Mwanaume Kwenye Snapchat ya Hamisa Yazua Utata.

Mwanadada Hamisa Mobeto amezua utata katika ukurasa wake wa snapchat baada ya kuweka picha ya kijana mwenye asili ya kiarabu katika ukurasa huo huku akiweka emoji za makopa kuashiria kuwa mapenzi tele.

Mwanadada huyo ambae kwa sasa amekuwa kimya na hakutaka kuonyesha kuwa na mahusiano na mwanaume yoyote amezua gumzo kwa ,mashabiki wake na kumtaka awaeleze ukweli kama huyo ndo mrithi wa diamond kwa sasa.

download latest music    

Mwanadada huyo ambae alisema kuwa ameazna kuwa na mafanikio makubwa kwa sababu ya kuachana na diamond na kwamba diamond alikuwa akimpa gundu la kutokuwa na mafanikio.

Hata hivyo gumzo ilo limekuwa ni la amshabiki tu na wala sio yeye mwenyewe kwa sababu kwa upande wake hajataka kuongea kitu kuhusu picha hiyo.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.