Q-Boy Aelezea Sababu ya Kumlilia Diamond

Msanii Q-boy amefunguka na kutaja sababu kubwa iliyomfanya kulia siku alivyotajia jina la aliyekuwa bosi wake hapo awali na kusema kuwa sababu kubwa ni kwamba amekuwa akimkumbuka sana Diamond kwa sababu akiangalia alikotoka, alipokuwa na alipo kwa sasa anaona kabisa kuna utofauti kubwa ambao unamfanya aumie kila siku.

Msanii  Q-boy ambae amewahi kufanya kazi chini ya lebo ya wcb amefunguka na kusema kuwa pamoja na kwamba kwa sasa amekuwa akijitegemea, lakini kila mara amekuwa akimkumbuka sana Diamond kwa sababu ya jinsi alivyokuwa akilelewa katika lebo hiyo.

download latest music    

Q-Boy aliwahi kusikika akisema kuwa hata kama angekuwa tajiri kasi gani lakini bado anaona kuwa bado anamuhiaji sana bosi huyo kwa sasa katika maisha yake ya muziki.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.