Q-chiller Azimika na Sauti ya Isha Mashauzi.

Msanii wa siku nyingi Q-chiller amefunguka na kusema kuwa kila msanii amekuwa na sauti yake na radha yake ya muziki kwa upande wake anaona kuwa moja ya sauti za wasanii zinazomkonga nyoyo ni  sauti ya mwanadada muimbaji Isha Mashauzi.

Isha mashauzi ni moja ya wasanii wa kike walioo katika game kwa muda mrefu na wameweza kulinda heshima ya muziki wa taarabu kutokana na sauti yake lakini pia kuipenda kazi yake ya muziki.

download latest music    

Q-Chiller amekuwa moja ya wasanii wanaosema wazi sana kuhusu vile wasanii wnegine wamekuwa wakifanya kazi na mafanikio yao pia.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.