Sabby Angel Kujiunga na CHADEMA

Mwanadada Sabby Angel ameamua kujiingiza katika siasa huku akisema kuwa uamuzi huo ameuchukua baada ya kuona kuwa kuna jamii kubwa inamuhitaji kuwatumia watu hao.

Akiongea jana alipokuwa anajiunga rasmi na chama cha upinzani cha CHADEMA , Sabby Angel anasema kuwa amejiunga na chama ichi huku kazi yake kubwa sasa ni kuhamasisha na kuwafumbua wanawake kuhusu haki zao.Akiongea na waandishi wa habari, Sabby alisema

download latest music    

Nimejiunga rasmi na Chadema Nitakuwepo kwenye sector ya BAWACHA(Baraza La Wanawake CHADEMA) na kushiriki kutoa seminars wanavyama wanawake kuhusu Haki za kina mama na kadhalika. Nimejiingiza kwenye siasa Rasmi Nina matarajio ya kupigania Viti maalum huko mbeleni,Kazi za Usanii nitaendelea Nazo Kama kawaida. Pia natokea kwenye Familia ya Wanasiasa kuanzia bibi, wajomba hata mama,japo tuko vyama tofauti” amesema Sabby na kuongeza”I needed a Platform where I can give back to my community Kama kioo cha jamii in a positive manner especially to women and children and Chadema gave me that platform

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.