Loading...

Sijawahi Kutuma Picha ya Uchi Mtandaoni :-Gigy Money

December 06, 2018 at 09:45
Sijawahi Kutuma Picha ya Uchi Mtandaoni :-Gigy Money

Mwanadada Gigy money amefunguka na kukiri kuwa katika maisha yake hajawahikutuma picha ya uchi kwa mwanaume yoyote katika simu ispokuwa mwanaume ambae  ni baba wa mtoto wake ambae pia  hata kama watagombana kiasi gani anaamini kuwa hawezi hata siku moja kumdhalilisha kwa kutumia picha hiyo.

Gigy Money amabe nae kila siku amekuwa hapitwi na matukio  , aliwahi kuwa moja ya wadada waiowahi sana kuchapisha picha za nusu utupu katika mitandao lakini alikuja na kubadilika sana kuhusu kufanya hivyo.

Loading...

Gigy Money anasema “sijawahi kutuma picha za uchi kwa mtu yoyote isipokuwa baba wa mtoto wangu,  na hata hivyo naamini hata tugombane kiais gani hawezi kunidhalilisha hata siku moja kwa kutuma picha yangu mtandaoni ”

 

 

5
Leave a Reply

avatar
4 Comment threads
1 Thread replies
0 Followers
 
Most reacted comment
Hottest comment thread
5 Comment authors
RizikiChileKoniBarakaSanta Recent comment authors
newest oldest most voted
Santa
Guest
Santa

Wanaume ni wale wale tu

Baraka
Guest
Baraka

Truth is usiwahi mwamini binadamu yeyote yule na picha zako za utupu manake hujui ya kesho

Chile
Guest
Chile

Kwa raha zako mwenyewe

Riziki
Guest
Riziki

Omba Mungu basi asije akakugeuka


in Entertainment

Loading…

#Godseeker,
I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.