sijawahi kupaka chochote :-Msami

Kuna muda unaweza kumuangalia msanii kwa kiume ukagundua kuwa kuna utofauti mkubwa sana wa muonekano wao wa kiuhalisia kama mwanaume , ingawa wengi wamekuwa wakitaka kuonekana tofauti katika video zao lakini wengine wamekuwa wakifanyiwa mpaka make-up kwa ajili ya kuonekana wangavu.

Kwasasa wasanii wengi wa kiume imekuwa ni jambo la kawaida kwao kupaka makeup au poda pindi wanapotaka kufanya video au hata kupiga picha na ukiwauliza wanasema hawataki kutokea kinyonge kwenye video zao. Msami ambae ni moja kati ya wasanii wa kiume ambao ukiangalia video zake unaweza kusema yeye ni moja ya wapaka makeup au poda na alipoulizwa kuhusu hilo kajibu hivi. .

download latest music    

 “Sijawahi kupaka makeup kwenye video zangu na hata poda sipaki sema mara nyingi camera huwa inanikubali na kunitoa vizuri”

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.