Sister Fey Amtetea Wema Sepetu

Mwanadada Sister fey amefunguka na kutoa lake la moyoni kuwa mwanadada Wema sepetu atabaki kuwa Tanzania sweetheart hata kama kitatokea nini katika maisha yake cha  kutaka kulizma jina lake.

Pia Sister Fey anasema kuwa wema atakuwa amejifunza sana kutokana na hayo aliyopitia kwa sasa kwa sababu mpaka amefikia hatua ya kuomba msamaha basi kweli msanii huyo atakuwaamegundua makosa yake na amumia.

download latest music    

Sister fey anasema kuwa wema amekuwa na matukio mengi ya ajabu hivyo itachukuwa muda sana kuwaaminisha watu kuwa yeye amejirekebisha na njia ya kuwafanya watu waamini ni kwa kutorudia tena .

ni kweli kuwa sisi ni wa Afrika na tumezoea kuongea sana lakini kuhusu wema kuwa na pepo la ngono sidhani, lakini pengine ni ulevi wake akipenda atakuwa anapenda sana, na itakuwa ni mtu anaetamani kuwa na vit flani kwenye simu yake ili hata mpenzi wake akiondoka basi na yeye avione.

najua atakuwa amejifunza ingawa pia sio kila mtu ataamini kuwa yeye amejifunza lakini wema atabaki kuwa wema na atabaki kuwa tanzania sweetheart na wengine tutabaki kuwa wengine na nina muomba wema haisrudie, najua atakuwa amejifunza.

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.