Steve :-Adhabu ya Kufungiwa kwa Wema ni Ndogo Sana.

Ikiwa ni siku chache tangu mwanadada Wema Sepetu aanze kupokea adhabu zak kutokana na kosa lake la kuvujisha video katika mitandao ya kijamii akiwa na mwanaume faragha, watu mbalimbali wamekuwa wakiongea misimamo yao kuhusu swla hilo huku wengine wakionekana kumtetea na kuomba mamlaka husika kumuangalia kwa jicho la pili na kumuonea huruma kumsamahe lakini kwa upande wa steve nyerere yeye anasema kuwa wema amekosea na anahijati adhabu.

Steve anasema kuwa pamoja na kwamba woa ni marafiki wa watu wa karibu kwa muda mrefu lakini anaona kabisa kuwa kwa swala hili alilofanya wema amekosea na kuangusha taifa hivyo hawezi kuungana nae mkono hata mara moja.

download latest music    

Stev anasema kuwa Wema sepetu ni msanii mkubwa ambae amekuwa akiitangaza tanzania nje ya nchi hivyo kwa hilo alilofanya limeonekana kote na waa sio tanzania tu hivyo wala hapaswi kuhurumiwa hata kidogo.

Lakini pia Steve anasema kuwa kwa adhabu ambayo Wema amepewa na bodi ya filamu nchini haoni kama ina ukubwa wowote kulingana na kosa alilofanya.

kwanza niseme ukweli kuwa kwa  adhabu anazopewa wema sio kwamba anaonewa lakini ni kwa sababu wnataka kuwanusuru watoto wetu jamani,naona hii adhabu ya kufungiwa ni ndogo alitakiwa kupewa adhabu kubwa zaidi, na hapo bado TCRA nao watakuja na adhabu yao.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.