Wema Ashindwa Kuzuia Hisia Zake Kwenye Wimbo Mpya wa Daimond

Mwanadada Wema Sepetu ameshindwa kuzuia hisia zake baada ya kusifia wimbo mpya wa Diamond uliotoka siku ya jana ambao amemshirikisha msanii mkubwa Duniani  Omarion.

Wema Sepetu ambae kipindi cha kwanza alikuwa adui mkubwa wa Diamond na sasa wapo pamoja huku tetesi kubwa ikiwa kwamba wamerudiana  kwa sababu hapo awali walikuwa ni  wapenzi ameshindwa kunyamaza kimya baada ya kuonekana kuupenda na kuuelewa wimbo huo.

download latest music    

Katika ukurasa wake wa instagram Wema Sepetu aliandika.

all dat said… lets get back to reality .. chibu, unaweza…chibu unajua…lets keep doing wat u do and live you dream ,,bonge moja la track na hongera kwa kummezesha Omarion swahili ….i can imagine kazi uliyokuwa nayo ..salute kwako.

The video be on you tube ladies and gentleman..i keep reapiting wallahy link on his bio.

                        

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.