Alikiba Afika Msibani Kimya Kimya

Moja ya wasanii wakubwa katika tasnia ya muzii Alikiba alifika katika msiba na kuaga mwili wa marehemu Ruge mutahaba  huku kila mmoja akiwa amesubiria kwa hamu kumuona kwa mbwembwe lakini hakufanya hivyo.

Baadhi ya mashabiki  wa wasanii hao waliamua kujudge na kusema kuwa, Sio kama alivyofika msanii mwenzake Diamond platinumz ambae aliingia kwa mbwembwe huku akiwa na walinzi wengi katika uwanja huu wa karimjee na kundi kubwa la watu   Alikiba alionekana na watu wachache huku wengine wakimuona tu tayari amekwisha fika ndani ya uwanja huo  aKkiwa ndani na meneja wake   msanii mwenzake  Ommy Dimpoz.

 

Alikiba Aongeza Namba kwa Familia, Apata Mtoto Mwingine

Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini, ALIKIBA ametuonyesha kwa mara ya kwanza mtoto wake mpya aliempta masaa macahche yaliyopita .

Alikiba na mke wake wanasherekea ujio wa mtoto wao huyo ikiwa ni miezi michache tangu kufunga kwa ndoa yao mwaka jana na mke wake amina kutoka nchini kenya,

Kwa Alikiba huyo hatakuwa mtoto wake wa tatu huku kwa bi Amina atakuwa mtoto wake wa kwanza na mume wake huyo.

tunatoa pongezi za dhati kwa msanii ALIKIBA  pamoja na mke wake BI.Amina

Alikiba, Sauti sol Kumpagawisha Producer kutoka Nigeria

Wasanii wa kundi la Sauti Sol pamona na moja ya wasaii wakubwa kutoka Tanzania Alikiba wamekuwa chachu ya kutaka kufanya kazi na moja ya maproducer wakubwa Duniani kutokea nchini Kenya anaejulikana kama Producer E Kelly.

Kelly anasema kuwa amekuwa akitamani muda mrefu kufanya kazi na wasanii hao kwa sababu anafahamu uweoz wao na anaamini kuwa kazi itakuwa nzuri sana.

Hata hivyo wasanii hao tayari waliwahi kufanya kazi ya pamoja iliyofanya vizuri kuliko maelezo.

Nina tazamia kufanya kazi na sauti sol pamoja na alikiba na ninaimani kuwa tutafanya maajabu.

 

Mwijaku afichua itikadi ya chama ya Alikiba

Msanii mwijaku ambae amekuwa akijizolea umaarufu sana katika mitandao kutokana na kusema na kuwachana baadhi ya wasanii wenzakke kwa yale yanayoendelea katika mitandao ya kijamii na pia katika maisha yao halisi  amefunguka na kumpa pole msanii mwenzake alikiba huku akitoa siri ya kile anachokiamini alikiba katika siasa.

Inawezekana ilikuwa siri au watu wengi walikuwa hawajui swala hilo lakini, msanii mwijaku amefunguka na kusema kuwa alikiba ni moja ya wakaereketwa wenzake wa chama cha mapinduzi CCM.

Akiongea alipokuwa anatoa pole kwa msanii huyo kufuatia kufiwa na baba yake mzazi mwijaku alisikikia akaisema “ninaomba kutoa pole  ndugu yenu, kada mwenzetu mpambanaji wa chama cha mapinduzi, manii nguli na pia rafiki yangu alikiba kwa kufiwa na baba yake mzazi na kwamba kila nafsi itaonya mauti na pia niwape pole ndugu na watu wote wa karibu wa familia  ya alikiba”

Hata hivyo alikiba amekuwa moja kati ya wasanii wachache sana wasiotaka kuonyesha itikadi zao za vyama au kutaa kuonyesha analalia upande gani zaidi katika siasa.

Alikiba na Timaya Kukutana ndani Ya Chulo Vibes.

Msanii mkubwa kutoa nchini Nigeriat TIMAYA ,  ameweka wazi kuwa msanii mkubwa kutoka bongo Alikiba atakuwepo katika EP yake inayotarajiwa mwaka huu.

Ep hiyo inayotegemea kutoka inakwenda kwa jina la chulo vibe inategmewa kuwa na wasanii wengine wengi wakubwa lakini Alikiba akiwa miongozni mwa wasanii walioekena kuwa wanafaa kwa muziki na msanii Timaya.

Akiandika katika ukurasa wake wa instagram, Timaya alaindika “My brother Alikiba from Tanzania  come through my EP  chulo vibes”

Lakini pia habari za kunyapia nyapi zinasema kuwa msanii Alikiba pia anategemea kutoa album mwaka huu.

Alikiba Atuhumiwa Kuwa Mwizi.

Msanii mkubwa wa muziki bongo Alikiba ametuhumiwwa kuwa mwizi wa kionjo anachokitumia sana kwa sasa katika nyimbo zake huku aliyemtuhgumu akimwita kuwa yeye sio mbunifu bali amekuwa akikopi mambo ya watu.

Msanii aliyemtuhumu msanii mwenzake   ni Domo kaya huku akisema kuwa kionjo cha neno YEBABA anachokitumia alikiba kwa sasa kilikuwa ndicho kionjo chake kwa muda mrefu.

Alikiba kwa sasa ni moja kati ay wasanii wakubwa sana wanaowakilisha vizuri bongo na nje ya afrika na Duniani kwa ujumla huku akivuma sana na nyimbo zake pya lakini pia kwa akzi yake nzuri ya kutoa wasanii wachanga chini ya kings music.

Wanamuziki Wanashindania Shangwe Kutoka kwa Mashabiki :-Mwana Fa

Mwanamuziki wa siku nyingi na amekuwa bado akifanya vizuri katika anga za muziki mwana Fa ambae nae ni mmoja katika list ya funga mwaka na king kiba amefunguka na kuzungumzia swala la yeye kufanya show ya alikiba na ahali ya muziki kwa sasa tanzania.

Mwana-FA anasema kuwa wasanii kwa sass hawafanyi kazi kama zamani ingawa muziki umekuwa mwingi lakini kikubwa wanachofanya ni kugombania shangwe la mashabiki na kelele nyingi.

Kumekuwa na wingi wa wasanii katika  anga za muziki ikiwa wengine ni wapya kabisa lakini uwepo wa timu na mashabiki wengi kuwa na kelel za kimitandano zimekuwa zikiharibu kabisa muziki.

Muziki umeshuka sana kutokana na wasanii kushndania sana shangwe la mashabiki kulikokufanya kazi.

 

Shabiki Amlilia Alikiba Ukumbini.

Dada mmoja aliyekiri kuwa   yeye ni shabiki wa alikiba miaka yote amejikuta akiangua kilio katika show yote ya alikiba wikiendi iliyopita alipopanda jukwaani katika jukwa la Tigo fiesta.

Dada huyo ambae alionekana kama anafanya utani mara baada ya Alikiba kupanda jukwaani akiimba wimbo wa seduce me , lakini ghafla kadr burudani ilivykuwa ikiendelea alianza  kupagawa mpaka kufikia ahatua ya kukimbia na kulivamia jukwaa kwa ajili ya kutaka kumshika msanii huyo.,

Hata alipoojiwa khsuu swala hilo , mwanadada huyo alisema kuwa amekuwa akimpenda Alikiba kila siku na hajawahi kuacha kumpenda kama shabiki hivyo kwake kumuona ni swala lenye furaha sana.

Sada huyo anasema kuwa mara zote anaposikia kuna show likiba anafanya amekuwa akifanya kila jitihada ili aweze kufanikiwa na kufika kwa ajili ya kukonga moyo wake.

 

Mke Mpya wa Charz Baba Aripotiwa Kupita na Alikiba.

Mke mpya wa Charz baba ambae amefunga ndoa na msanii huyo wikiendi iliyopita anaripotiwa kuwa alikuwa mtu wa karibu wa msanii Alikiba na kwamba mpaka sasa yuko karibu na familia ya msanii huyo.

Mwanadada huyo ambae kurasa nyingi za udaku zimeanza kumchambua na kuweka wazi historia yake inasemwa kuwa aliwahi kuwa  akijiuza huko nje ya nchi na kisha kupata pesa na kuja kuzitumia bongo na baadhi ya mastar kwa kuwa pesa.

Hata hivyo inasemw akuwa mwanadada huyo aliwahi kuwa na mahusiano na alikiba kwa  muda mrefu hata kufikia hatua ya kutoa psa yake kumpa alikiba na kwenda kutoa video nje  ya nchi kipindi cha nyuma.

Mwanadada huyo anaripotiwa kuwa ni rafiki mkubwa wa dada wa msanii alikiba na hii imetumiwa kama usahhidi wa kuthibitisho cha mahusiano ya mwanadada huyo na alikiba kwa kipindi cha nyuma kama inavyosemwa.

 

Sichezi kwa Pesa Coastal Union :-Alikiba

Msanii Alikiba amefunguka na kuzungumzia mkataba wake katika  timu ya Coastal union ambayo kwa sasa pia inashiriki katika mechi za ligi kuu ya tanzania huku alikiba pia akiwepo katika mechi hioz na kufanikiwa kucheza baadhi ya mechi.

Akiongea na Clouds Media, Alikiba aliongelea kuhusu  kataba wake na coastal union ambapo wiki iliyopita zilisambaa habari kuwa mwanamuziki huyo ameachana na mkataba wa timu hiyo.

Alikiba anasema hachezi mpira kwa sababu ya psa lakini anacheza kwa sababu anaupenda mpira  lakini pia kwa sababu kinywaji chake cha mo faya pia kiandhamini timu hiyo kwa sasa.

mimi silipwi, sichezi mpira kwa pesa nacheza for fun,  vilevle napenda kucheza tu mpira na nimeweza kuitangaza coastal  zaidi na pia coastal yanaitangaza mo faya zaidi , hii pia imenipa millage kubwa zaidi.

Nikienda Kambini Wife Nitamuacha na Nani Nyumbani.:-Alikiba

Msanii wa muziki wa kizazi kipya alikiba amefunguka na kusema kuwa tangu ameanza kucheza katika timu ya coastal uniona mpaka sasa ahajawahi kukaa kambini kwa sababu yeye anaambi kuwa chemistry nuri kati yake na wachezaji mwengine inatgngenezwa uwanjani na wala sio kukaa kambini kila siku

Alikiba nasema kuwa mara zote amekuwa akitokea nyumbani na kwenda uwanjani na anafanya vizuri hiyo aamini kama kukaa kambini ndio kucheza vizuri,

Hata hivyo alikiba ansema kuwa swala la yeye kukaa nyumbani inamlazimu kwa sababu anahofia atamuacha na nani mke wake kwa kipindi atakachokaa kambini ikizingatia ligi ni ya muda mrefu.

Akiongea na Clouds media walipokuwa wakitambulisha wimbo wao mpya, alikiba ansema pia amekuwa akicheza mpira kwa  ajili ya kujifirahisha na wala sio kulipwa kama inavyodhaniwa.

Alikiba Kutumbuiza Fiesta Grand Finale December Hii.

Msanii anaepedwa  na mashabiki sana Afrika  Mashariki pengine kutokana na mambo yake anayofanya ukiachana na muziki lakini pia hata nidhamu , Alikiba amefunguka na kuwatangazia mashabiki wake kuwa ile tarehe aliyokuwa ametangaza kwa ajili ya show yake na mama Yyone Chakachaka ambayo ilikuwa ni December 22 itapelekwa mbele na kufanya February katika siu ya wapemdanao huku tarehe hiyo akiwaahidi amshabiki wake kukutana nae katika tamasha la Fiesta.

Akiweka ratiba hiyo katika ukurasa wake, alikiba ansema kuwa kufunga mwaka na king kiba ipo pale pale itakayofanyika december 29 lakini siku ya terhr 22 kutakuwa na grand finale ya tamasha la Fiesta hivyo yeye pia atakuwepo kuwapa mashabiki wake kile wanachostaili.

Hii itakuwa habari njema kwa mashabiki kwa sababu kwanza tamsha hilo lilionekana kukosa matumaini ya kufanyika kwa wakazi wa dar hasa baada ya  kuhairishwa, lakini pia uwepo wa alikiba katika stage unoageza hamasa ya mashabiki wanaotaka kumuona.

Coastal Union Yakanusha Alikiba Kuvunja Mkataba

Klabu ya soka ya Coastal Union kutoka jijini Tanga, imekanusha vikali taarifa zinazoeleza kuwa mchezaji wao, Ali Saleh Kiba maarufa kama Alikiba amevunja mkataba kama mchezaji na kuwa kiongozi wa timu hiyo.

Coastal imesema taarifa hizo zilizoanza kusambaa mitandaoni jana Desemba 10, 2018, sio za kweli na zinatakiwa kupuuzwa kwani zinalenga kuichonganisha timu na wadhamini wake akiwemo yeye mwenyewe Alikiba kupitia kinywaji chake cha MoFaya.

Habari hizo ni za uongo na zina lengo la kutuvuruga na kuudanganya umma, hakuna hata neno moja lenye ukweli na Coastal Union ina laani kitendo cha Mwandishi kuandika habari isiyo na chembe ya ukweli”, Umeeleza uongozi wa Coastal.

Aidha klabu hiyo imetoa ufafanuzi kuwa Ali Saleh Kiba sio kiongozi wa timu kama ilivyodaiwa badala yake ni mchezaji wa Coastal union kama wachezaji wengine japo ni mdhamini pia kupitia kinywaji chake.

Coastal kwa sasa inashika nafasi ya 6 ikiwa na alama 23 kwenye msimamo wa ligi kuu soka Tanzania bara baada ya michezo 16. Alikiba aliichezea Coastal Union kwa mara ya kwanza kwenye ligi kuu, Jumapili Desemba 9, 2018 ilipotoka sare ya 1-1 na Mbeya City

Alikiba Azidi Kutoa Uhuru kwa Mashabiki

Mwanamuziki Alikiba anazidi kuwafanya  mashabiki zake kukaa na hamasa ya kutaka kujua ni jinsi gani matamasha yake aliyowahi kuyaangaza hao awali kwa ajili ya kufunga mwaka jinsi yatakavyokuwa kwa sababu anawapa uhuru mkubwa mashabiki kuchagua nini wanataka kuimbiwa katika matamasha hayo.

Alikiba anasema kwa tamasha la kwanza ambalo atakuweo ia msanii mkubwa Duniani, Mama Yvone Chakachaka , litakuwa tamasha la aina yake kwa sababu anataka kufunga mwaka na mashabiki zake wakiwa na furaha ya kile alichojianda

Uhuru unakuja zaidi ale msanii huyo alioaua kuwambia mashabiki zake wamchagulie wimbo wowote wa kuanza nao kwa sababu hii ni zawadi yao ya kufunga mwaka.

katika ukurasa wak alikiba aliandika ; shoo ya kwanza niko hapa na mama yvone tunafanya  tjnafanya set list, ungeenda tuimbe wimbo gani siku hiyo ya 22 December ?

Baada ya Majukumu ya Muziki, Alikiba Arudi Uwanjani

Baada ya kuzunguka sana katika mikoa na nchi mbalimbali kwa ajili ya kazi zake za kimuziki, msanii Alikiba ameamua kurudi tena katika timu yake ya Coastl union ambapo ndiko anachezea baada ya kusajiliwa.

alikiba alikuwa nje ya timu hiyo kwa muda kutokana na majukumu yake ya kazi za kimuziki huku akionekana kuweza kufanya yote kwa wakati mmoja kwa kupangilia muda wake.

kipindi anajiunga na timu hiyo mashabiki walipata hofu kuwa inawezekana hiyo ikawa ni njia ya kumpoteza mchezaji wao kwa sababu ataikita sana katika mpira na sio muziki lakini alikiba amaenyesha tofauti baada ya kuweza kufanya kazi kila sehemu,

Kocha wa timu hiyo anasemakuwa ni kweli Alikiba amerudi na kwamba amepewa progamu maalumu ya mazoezi ambayo kama msanii huyo ataweza kuifatilia kwa umakini basi atakuwa sawa na wachezaji wengine na hata kucheza daraja la kwanza.

Alikiba Atoa Sharti kwa Mashabiki ili Atoe Ngoma Mpya.

Msanii Alikiba mabe pia ni kiongozi wa kundi la Kings Music ametoa sharti dogo sana kwa mashabiki wake ili kama wataweza kufanikisha ili anaweza kuachia ngoma mpya muda wowote kuanza sasa.

Kwa kutumia maneno ambayo yamekuwa yakisumbua sasa katika mitandao ya kijamii, alikiba alitumia ukurasa wake wa instagram na kuandika kuwa kama kuna mtu anabisha kuwa iwmbo wa toto ambao kwa sasa ni wimbo mpya wa kundi ili kama ni mbaya basi watu wajikune ili atoe wimbo mwingine.

Alikiba alandika “TOTO ni shida kama unabisha jifanye kama unajikuna,  nitoe kubwa zaidi

Hata hivyo msanii huyo katika moja ya zawadi zake za birthday yake mwaka huu kwa mashabiki zake alisema kuwa anataka kuwakonga mashabiki wake kwa kuwafanyia vitu vikubwa hiyo inawezekana kuwa hizo ndioz zawadi zinaanza kutoaka.