Shabiki Amzungumzia Diamond, Asema ni Mkarimu Sana.

Shabiki mmoja jijini Dar Es Salaam ambae jina lake hakupenda liweke wazi amefunguka kwa waandshi wa habari na kusema jinis ambavyo amekuwa akimchukulia Diamond kwa muda mrefu na vile watu wanavyomsema na jinis alivyokutana nae na kumuona jinsi alivyo.

Shabiki huyo anasema kuwa diamond sio kama watu wanavyomdhania kwa sababu ni mkarimu na pia ni mnyenyekevu sana, akisimulia kwa waandishi shabiki huyo anasema

mimi ni shabiki yake sana ingawa mara nyingi nimekuwa nikivutiwa na Dully sykes, nilimuona Diamond mwezi huu mwanzoni, nikaita simbaaa lakini hakuitika , nikaita tena lakini hakuniona  lakini baunsa wake alioniona hivyo hakuamgusa na kumuonyesha , akappunga mkono na kisha kuuzungusha yaani kwamba atarudi tena.

hata hivyo nilijua haka kajamaa kanapenda sana kiki hakawezi kurudi acha niendelee na yangu , basi baada ya dakika 10 akarudi na akaja kunisalimia, alinipa elfu kumi na  na alikuwa mstaarabu sanaa.akaa kwenye bao gumu pembeni yangu , akanishukuru kwa sapoati, nimeamini kuwa huyu jamaa sio mchawi ila ni mnyenyekevu kutokana na maisha magumu ambayo yeye na mama yake waliwahi kuyaptia.

Diamond Hajawahi Kunisaidia :-Wastara

Mwanadada wastara juma amefungukan a kukanusha tetesi kuwa maneno yanayosamba katika mitandao kuwa amekuwa akisaidiwa na Diamond Platinum kila mara anapokuwa anapatwa na matatizo hasa ya ugonjwa unaomsumbua.

Akiongea na moja ya waandishi wa habari, Wastara anakanusha taarifa hizo na kusema kuwa pamoja na kwmaba mara nyingi amekuwa akiomba msaada sana kwa Diamond Platinumz lakini hakuna hata siku moja ambayo mwanadada huyo amepata jibu la maana kutoka  kwa Diamond.

Hapana Diamond hajawahi kunisaidia kiukweli  kabisa na ingawa mara nyingi nimekuwa nikipata shida au nikikwamba huwa ninamtumia salamu   na kuwasiliana nae kila mara lakini hajawahi kunisaidia hata kunijibu tu zile salamu zangu hata kama amaepata ujumbe wangu , kwaio hajawahi kunisaidia kabisa.

Hata hivyo wikiedn iliyopita msanii huyo alitoa pesa nyingi kwa ajili ya vijana na kima mama  wa Tandale ikiwa kama sehemu ya kurudisha shukrani kwao.

Vitu Alivyotaja Diamond Kama Nguzo ya Mafanikio Yake.

Akiwa kama moja ya msanii anaeongoza kwa kuwa na mafanikio kwa muda mrefu tangu ameanza muziki, msanii Diamond Platinumz ametoa sababu zinazomfanya yeye kuwa na mafanikio tangu alipoanza kazi ya muziki.

Diamond aliyasema hayo siku ya ijuma wiki iliyopita alipokuwa akifanya sala ya sadaka kwa wananchi wa Tandale kama shukrani yake kwa watu hao kutokana na malezi waliompatia alipokuwa mdogo.

Diamond ameorodhesha vitu hivyo na kusema kuwa ni pamoja na

  • usichague kazi
  • kuwa mbunifu
  • sali sana na kuwa muwazi na mahitaji yako
  • usikate tamaa wala usikubali mtu akukatishe tamaa
  • usiogope kunyanyasika
  • ukipata nafasi itumie kwa umakini sana.
  • kuwa mwaminifu
  • piga kazi

Hata hivyo Diamond anaamini kuwa mbinu hizo alizowapa vijana wengine zinaweza kuwasaidia kwa kiasi fulani hata kama hawataweza kufikia alipo aua wanaweza kupita pale alipofika yeye.

Yasemekana Huyo Ndio Mritho wa Zari na Hamisa.

Katika kurasa za nstagram siku ya jana ambapo wasafi walitupia picha nyingi sana karibia katika kila ukurasa wa msanii fulani katika lebo hiyo kuna pivha zilisambaa sana mabazo zilikuwa zikimuonyesha Diamond akiwa na moja na wanawake wakali sana bongo.

Hata hivyo tetesi zinzsema kuwa wawili hao kwa sasa ni wapenzi na kwamba hiyo ndo couple mpya mjini kwa sasa.

Mwanadada huyo ambae ni mwanamitindo na pia ni video vixen anaejulikana kwa jina la kim nana ni moja kati  ya wasichana maarufu wasiokuwa na skendo kwa muda mrefu lakini swali ni kwamba kama anaamua kuwa na dimaond ataweza kuepeka skendo.

Hakuna aliyethibitisha hil bali ni hisia na maneno ya mashabiki na watu wa karibu na msanii huyo lakini lisemalo lipo kama halipoa basi linakuja.

Siku ya jana ilikuwa pia siku muhimu kwa msanii Mbosso kutokana na kusherekea siku yake ya kuzaliwa.

Happy Birthday Mume Mwenzangu ;-Idrisa kwa Diamond

Mchekeshaji Idrisi Sultani ametuma salamu za sikukuu ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa msanii mwenzake Diamond Platinumz kwa kumuita mume mwenzake huku pia akitoa baadhi ya maneno ya kashafa kwa wanawake ambao ameshare nao.

katika ukurasa wake wa twitter,, Idris alisema kuwa pamoja na yote Diamond akae akijua kabisa kuwa wanawake anaotembea nao ambao na yeye anatembea nao wamekuwa wakimsimulia baadhi ya mambo ambayo wamekuwa wakifanya wanapokuwa katika mahusiano.

Idris aliandika ”  by the way happy birthday mume mwenzangu  kwa naniii na nanii na nanii pia kwa kukumbuka tu haraka haraka huwa wananiadithiaga kwaio kaza mwamba.”

Idris na diamond waliripotowa kuwa na mahusiano ya mwanamke mmoja kwa wakati tofauti ambae alikuwa ni Wema sepetu lakini ilikuja kuvuja tena kuwa Idris amekuwa na mahusiano ya kimapenzi ya siri na mwanadada LYNN.

Nyumba Mpya ya Diamond Nayo Yakumbwa na Utata.

Ikiwa jana October 2 msanii wa muziki wa bongo fleva DIAMOND  alikuwa akisherekea kumbukumbu ya sikukuu ya kuzaliwa, na alitimiza ahadi aliyowahi kutoa hapo nyuma kwamba siku hiyo ataonyesha mjengo wake mpya kwa mara ya kwanza.

Na kweli swala hilo lilitimia baada ya Diamond kuonyesha mjengo huo kwa mara ya kwanza na kuibua hisia kubwa kwa mashabiki na watu wake wa karibu,  lakini nyumba hiyo imezua utata tena baada ya kusemekana kuwa nyumba hiyo sio ya kwake na kwamba amepanga tu.

Skendo hizo zinzkuwa nyingi kwa Diamond katika kila nyumba anayonunua, ikianza ile ya afrika ya kusini, ikaja studio ya wasafi na nyumba ya Hamisa Mobeto lakini sasa hivi tena ni hii mpya anayosema kuwa ni ya kwake mwenyewe.

Hata hivyo Diamond amekuwa kimya katika kila tukio la aina hii  na inawezekana hii yote ni kwa sababu ukweli anaujua mwenyewe.

Hata hivyo baada ya kufatilia sana ilikuja kuonekana kuwa nyumba hiyo ilikuwa ikiuzwa na imenunuliwa kwa shilingi bilion 2, hivyo waliokuwa wakisema kuwa sio mjengo wake walifumbwa midomo.

Gigy Money Atoboa Siri ya Aliyeimba I like It Kwenye Jibebe Ya Diamond ni Hamisa.

Kwa muda sasa tangu wimbo wa jibebe umeanza kusikika katika masikio ya watu na mpaka video yake kutoka katika television mbalimbali watu wamekuwa wakijiuliza ni nani aliyeimba wimbo huo na kwamba kwanini hata kwenye vide hajaonekana.

Basi siri imevuja baada ya mwanadada Gigy Money kuamua kutoa siri hiyo kuwa aliyeimba kasauti hako katamu ambako watu wengi wamekuwa wakiipenda na kumuulizia muimbaji kuwa ni Hamisa Mobeto mzazi mwenzie na Diamond.

hamisa na gigy money ni marafiki hivyo kwa asilimia fulani maneno ya Gigy Money yatakuwa na ukweli ndani yake . Gigy Money anasema ” Najua Hamisa anafanya muziki sio kwa biashara ila for funny , ila ile i like it ya jibebe  ameweka yeye , ana sauti nzuri ila siwezi sema kuwa atafika mbali kweye muziki.

Kisa Wema , Diamond Amtolea Povu Shabiki.

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Diamond Platinumz amejikuta akimtolea povu zito moja ya mashabiki zake katika mitandao ya kijamii baada ya mashabiki hao kumtolea povu Wema Sepetu na kumkejeli.Shabiki huyo ambae aliweka maoni yake katika post moja wapo ya ambayo walionekana wawili hao wakiwa njiani kuelekea katika party ya Rommy Jones.

Diamond alionekana kumkingia kifua Madam Wema na kusema kuwa  kushikana na wema ni moja ya sehemu ya kazi yake hivyo hawezi kuacha kufanya hivyo.

 

H.Baba Aongea na Diamond kwa Kilichotokea kwa Mavoko.

Msanii wa muziki wa dansi nchini H.Baba  amefunguka na kelezea mtazamo wake kuhusu kile kinachoendelea kwa sasa kati ya rich mavoko na WCB huku akisema kuwa haiwezekani WCB wakawa wanyonyaji lakini kama kuna kitu chochote pande hizo mbili wanapaswa kukaa chii na kuongea tofauti zao na kuzimaliza.

katika ukurasa wake wa instagra, H.baba aliandika ” Diamond platinumz pole sana , nadhani sasa ni muda wako wa kujifunza maisha na watu na kuzingatia vitu viwili, umakini wako wewe sio kila mwanadamu ana umakini kama wako.kujitambua wewe, kujipambanua na kumheshimu Mungu sio kwa kila mdharau mwiba.

kama kuna tofauti kati yako na mr mavoko ni bora kulimaliza kistaarabu,maana mnajuana kwa muda huo mliokaa pamoja.mimi nimetoka mwanza nimewakuta kwenye game, inagwa siku ya kutoboa huwa ni siri kubwa kutoka  kwa Mungu.

WCb hawana uwezo wa kumnyonya msanii lakini msanii ana uweoz mkubwa sana wa kumnyonya WCB, waangalie kina Mbosso na lava lava utakugundua kuwa WCB wana Utu sana , ni wapambanaji sana na kama kila upambanaji ikienda kwa kasi ya diamond basi mtaomba pooh.

 

Ujumbe Mzito wa Diamond Kwa Dee, Amwita “maskini mwenzake’.

Ikiwa jana ni siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa ya mtoto wa hamisa mobeto pamoja na diamond platinumz, mtoto huyo ametimiza mwaka mmojatangu kuzaliwa kwake, nahiyo ni moja ya siku ambazo wau wengi walikuwa wakisubiria kwa sababu watoto  wa msanii huyo wamefuatana katika siku za kuzaliwa ikiwa ni tiffah na dully.

katika siku hiyo Diamond Platinumz aliandika ujumbe mzito kwa mtoto wake huyo huku akimwita Mtoto wake huyo wa kiume kuwa ndio masikini mwenzake na ndio kitinda mimba wake.

katika ukurasa wake wa instagram aliandika “Avery happy birthday to the next platinumz,my kitinda mimba, mswahili mwenzangu, masikini mwenzangu, mnyonge mwenzangu..mengi uliyoyapitia ukiwa mdogo na usiyoyajua hili wala lile yamenifanya nikupende sana na kuhakisha kuwa nitakutunza na kukulinda kwa hali yoyote ile …inshalah mwenyezi mungu akutunze na akupe akili, afya, furaha na akubariki , ukikuwa uwe msanii kama mimi baba yako.uzidi kupendwa na ukifanikiwa uwainue na maskini wenzetu mitaani…happybirthday my king/youngking/young lion/young simba/young dangote.

Mh Kangi Lugola Akiri Kumkubali Diamond Platinumz.

Mh waziri wa mambo  ya ndani ya nchi mh Kangi Lugola ameonyesha kumkubali msanii diamond Platinumz kwa kazi kubwa na nzuri anayokuwa akiifanya ya kuusambaza muziki wa Tanzania nje ya nchi kwa kishindo na kwa jitihada kubwa.

Diamond ambae hivi sasa yuko nje ya nchi na  nchini Madagascar alikofanya show yake wikiend hii na kujaza watu kibao katika uwanja aliofanyia show, huku ikisemekana kabisa kuwa katika watu wengi walihudhuria  walikuwa hawajui kiswahili.

katika ukurasa wa diamond , mh kangi aliweka comments na kuandika,” Hongera sana you make our tanzania country to feel proud of having you, may god bless you.”

 

 

 

Ujumbe wa Diamond kwa Binti Yake Tiffah.

Leo August 6 mtoto wa msanii Diamond platinumz kazliwa ambapo ilkuwa ni moja ya siku kubwa Dimaond alikuwa akisubiri kwa hamau lakini pia hata katika mitandao ya kijamii kumekuwa na attentio kubwa sana kuhusu birthday hiyo.

Tiffah ambae anatimiza miaka 3 tangu kazaliwa kwake ,  amenadikiwa ujumbe huu na baba yake:- i do love you not because your my daughter nah, because you love more thana anything in this world,sometimes i wonder why u love mo so…and that is why i cant sleep without praying for you.

i cant slep without thinking of you… and most of the time when you come into my lmind i think i owe you more thana life….inshallah mwenyewzi mungu akulinde vyema.akupe akili, afya, adabu , umri mrefu  wenye furaha na future nzuri baadae.

Nakupenda sana mwanangu, nakupenda sana tifaah wangu, happy 3 birthaday

mama.

Diamond Azuiwa Kwenda Kufanya Shoo Nje Akiwa Uwanja wa Ndege.

Baraza la Sanaa la Taifa, limemzuia Diamond Platinumz kwenda kufanya show nje ya nchi akiwa katika uwanja wa ndege wa kimaitafa wa mwl julius kambarage nyerere huku sababu kubwa ikiwa ni kwamba msanii huyo kukosa kibali cha kwenda kufanya show hiyo.

Akiongea na TBC  kaimu katibu mtendaji Onesmo Mabuye anasema kuwa Diamond amezuiwa kutokana na kukosa kibali cha BASATA cha kufanya show za nje.

BASATA wanasema kuwa kwa sasa kuna utaratibu mya ambao inabidi ufuatwe na wasanii wote kwamba kama msanii anakwenda kufanya shoe nje ya nchi inabidi kupata kibali pale anapokwenda na pia anaporudi ni lazima kuripoti BASATA pia.

BASATA wanasema kuwa wameamua kufanya hivi leo kwa msanii Diamond ili kuwa fundisho kwa wasanii wengine wanaokwenda nje ya nchi bila kutoa taarifa BASATA wala kuwa na Vibali vya kusafiri kwa ajili ya show.

Hakuna Mmanyema Anaeachwa na Mwanamke, Diamond Kam-shit Zari.:-Mwijaku

msanii wa maigizo na tamthiiya nchi ,mwiaku amefunguka na kusema kuwa sio kweli kuhusu taarifa ambazo zilizagaa sana za kuisha kwa penzi kati ya Diamond na Zari huku chanzo ikiwa ni kuachana kwao zarinndie alieamua kuchana na diamond.

Mwijaku anasema kuwa hakuna mwanaume yoyote kutoka kigoma anaachwa na mwanamke labda huyo hajapanda treni kuja jijini lakini wanachojua wao ni kucha na wala sio kuacha kama wanavyomchafua.

akiongea kwa kujiamini katika mahojiano na Global, Mwijaku anasema ” we unafikiri Zari kamuacha Diamond, hakuna kitu kama hico hata siku moja.hakuna mwanaume wa kimamnyema anaachwa na mwanamke Dunia toka umeombwa hadi ikaisha hakuna aslaanii, akitokea hujui huyo sio mmanyema  na hajatoka Kigoma, labda huyo hajapanda treni.HATUACHWI hiyo ni siri nina kuibia na tukigusa sehemu ubanduki.

Mapenzi ya Zari na Diamond aliisha pale Zari alipoamua kutangza mwaka huu april 14 kuwa yuko single na wana mahusiano kama wazazi na Diamond.

Diamond Atoa Ofa kwa Mashabiki Kusherekea Birthday ya Tiffa S.A

Baba mzazi wa mtoto Tiffah, Daimond Platinumz ametoa ofa kwa mashabiki zake kusherekea sikukuuu  ya kuzaliwa ya mtoto huyo itakayo fanyika huko nchini Afrika ya Kusini.

Diamond ametoa wito kwa mashabiki zake kuwa kama challenge atakayo itoa itaweza kujibiwa na kufanywa kama anavyotaka basdi mashabikiwatakao ptia kwa usahihi kabisa watapata ticket za kwenda huko afrika a kusini.

katika ukurasa wake wa instagram Diamond aliandika ” watu 30 wne bahati nitawalipia  ndege na malazi kwenda kusherekea birthda na @  tiffah  uzaliwa wake south Africa …wanyumbani kama live on wasafi tv “

Hata hivo Diamond anasema kuwa kwa wale waliopo nyumbani watapata matangazo a sherehe nzima katika televisheni a WCB itakaoooneshwa Live.

 

Diamond Amuiga Shahrukhan, Atoa Ufafanuzi.

Wimbo wa baila wa Diamond ft Miri-Ben Ari  unasemekana kuwa ni inspired by wimbo kwenye movie ya Jab Tak Hai Jaan(2012) picturized on Shah Rukh Khan and Katrina Kaif, ambapo baada ya wimbo huo kutoka watu walianza kusema kuwa msanii huyo amekopi kila kitu kutoka katika movie hiyo.Hata hivyo diamond hakutaka kukataa kuhusu swala hilo na hivyo amejibu kuwa ;-
.
“Sababu kubwa ya Kumpendea Sharuk Khan sio tu kuigiza bali ni Ufundi na kubobea kwake kwenye sekta ya Uigizaji wa Mapenzi katika Movie zake… Licha ya Vingi vinipavyo Furaha Lakini kuwa kwenye Mapenzi ama Kumpenda Mtu, ndio stareh yangu kubwa….Na kama ujuavyo, Unapokuwa na kajina Wengi wanakuwa wanakupenda, Wengine kwa dhati wengine kwa Matamanio…ila inapotokea anipendae nami nikampenda, basi huyo Hufaidi haswa Mapenzi yangu… na ndiomaana mara nyingi inakuwaga ni ngumu sana wengi Kunisahau pindi tutenganapo….kwani huwaga na Matendo Mengi Mazuri ya Kimahaba yanayoonekana na Yasiyoonekana gizani, kwasababu nayapenda Mapenzi, na ni Hodari sana kwenye kila taaluma ya kupetipeti… Kwa Machache nilojifunza kwenye Mahusiano nilisema, siku nikikutana na Mwanamke Mpya nitaetaka kuwa nae …kabla ya Kuianza safari, sitomwambia neno, bali nitamuekea wimbo huu wa Baila kwani Maneno yote nitayotaka kumwambia Nimeshayaweka hum….Akisha sikia na Aka-afki, Tutaianza Safari ya Mahaba”