Lyn Anyoosha Mikono kwa Tanasha

Mwanadada Irene ambae alikuwa video vixen na kwa sasa amejiingiza katika anga za muziki amefunguka na kusema kuwa kwake haoni tatizo kama Diamond ataamua kumuoa mwanamke aliyenae sasa katika mahusiano kama ambayo mwanaume huyo ametangaza ndoa hivi karibuni.

ikumbukwe kuwa irene aliwahi kuwa katika mahusiano na Diamond platinumz , lakini kwa sasa mwanadada huyo haijulikana yukpo na  nani huku akimuacha Diamond akipeperuka kwenda kwa mwana dada kutoka nchini Kenya,

sina kinyongo, Diamond amuoe Tanasha hata kesho  maana ni jambo la kheri kabisa, nitafurahi sana kwa sababu diamond ni mshikaji wangu sana na sio vinginevyo.

Mara zote mwanadada huyo hajawahi kukubali kuwa yuko katika mahusiano ya kimapenzi na Diamond platinumz, zaidi ya kusema kuwa ni marafiki na watu wa karibu tu.

Diamond, ATCL Waweka Mambo sawa, Aandika Maneno haya.

Msanii diamond platinumz baada ya kukwaruzana kidogo na kampuni ya ATCL wikiend hii kwa tuhuma za kuuziwa ticket yake na huku kampuni hiyo ikisema kuwa alikuwa amechelewa kufika katika uwanja  wa ndege wamemmliza tiofauti zao na kuamua kufanya biashara kama mteja na muuzaji.

Kuna maneno yalisambaa sana katika mitandao ya kijamii kuhusu pande hizo mbili huku kila mmoja akiamua kuvutia upande wake lakini wawili hao wameonekana kumaliza mambo hayo na kila kitu kiko sawa sasa.

Baada ya kukosa ndege ya tarehe 16, Diamond platinumz na mpenzi wake walitegemewa kuondoka  siku inayofuta na kwa kudhibitisha hilo, diamond aliandika maneno haya katika ukurasa wake wa instagram

“telling my wifey we just orded 2 airbus  ticket for Tanzanian airline, so KQ better be ready ans she was like ooh really! i said ooh yes!!

Atcl Wajibu Malalamiko ya Diamond Kuachwa na Ndege.

Kampuni ya ndege ya Atcl  wamejibu  tuhumazilizosambaa sana katika mitandao ya kijamii baada ya msanii Diamond platinumz kutoa malalamiko katika vyombo vya habari  kuhusu kuachwa nandege huku akilalamikia kuwa haikuwa sahh kwake.

kampuni hiyo inakubali kuwa mteja huyo alikata ticket katika kampuni yao lakini hakuwahi kufika katika uwanja wa ndege wa mwanza ambapo alitakiwa kuruka na ndege ya saa mbili kutoka jijini hapo kwenda Dar.

kampuni inasema kuwa kwa mujibu wa watu waliokuwepo uwanjani hapo na kamera zilizopo uwanjani zinaonyesha kuwa Diamond alichelewa sana kufika katika uwan ja huo na kukuta dirisha la ukaguzi limeshafungwa.

kwa mujibu wa barua ya Atcl wanasema ”

Diamond Atangaza Tarehe ya Ndoa

Msanii Diamond Platinumz ambae mara zote amekuwa akisema kuwa katika mahusiano yake haya ndio mahusiano yake ya mwisho mpaka ndoa , amefunguka na kusema kuwa anatarajia kufunga ndoa tarehe 14/2/2019 kwa sababu ndio siku anayotaka kufunga ndoa.

tangu hapo awali, mwanamuziki huyo alisema kuwa  atafunga ndoa mwakani na mwanamke aliyenae sasa hivi kutoka kenya anaejulikana kwa jina la tanasha.

katika moja ya maoni aliyokuwa akimjibu mashabiki wake, “unajua ni kiasi gani ninaisubiri hiyo siku , (14/2/20180 siku ya harusi ya simba”

 

Mama Diamond Apata Kigugumizi Mavazi ya Tanasha

Siku kadhaa ziliozopita, mama wa msanii Diamond Platinmz alifunguka na kusema kuwa kwa tansaha mwanae Diamond Platinumz ndio amefika na wala hawezi kupangua na kwamba wawili hao watafunga ndoa kwa sababu hata yeye ameridhika na swala hilo.

Hata hivyo mwanadada huyo ambae kwa sasa ameonekana kupendwa na familia nzima ,alitangazwa na diamond mwenyewe kuwa mwaka 2019 ndio mwaka wake ambao atamuoa binti huyo wa sababu amechoka kuzunguka kwa kila mwana ke na kwamba alishafanya starehe zote sasa ni muda wa kupumzika.

Akiulizwa na waandishi wa habari kuhusu mavazi ya mwanadada tanasha akiwa kama mama mkwe lakini kama mama wa kiislamu anaetakiwa kuwalea watoto katika maadili ya kidini, mama huyo alipata kigugumizi kuzungumzia swala hilo la mavazi ya mkwe wake na kusema kuwa  aachwe apumua na  maswali.

 

Diamond ni Kama Taifa Stars :-Afande Sele

msani wa muziki mkongwe kutoka Morogoro Afande sele amefunguka na kusema kuwa amekuwa aiumisana anapoona kuwa msanii mkubwa na mwenye mafanikio kama Diamond platinumz anakuwa akitukanwa na kudhalishwa katika mitandao ya kijamii,

Akiongea na waandishi wa habari, Afande Sele amefunguka na kusema kuwa kwa thamnai aliyonayo Diamond Tanzania ni kama timu ya taifa inapokuwa inawakilisha nchini hivyo kwake yeye anapoona watu wanamuandama Diamond anakuwa  anaumia sana.

Afande sele anasema “Diamond ni kama taifa stars, akitukanwa mimi anaumia sana ”

 

Lema Amtaka Naibu Spika Ashughulikiwe Kisa Mwanza Ya Diamond

Kuna video iekuwa ikisambaaa katika mitandao ya kijamii kimuonyesha naibu spika tylia akso akiwa anaimba wimbo wa mwanza wa rayvanny na diamond huku wimbo huo ukiwa kati  ya nyimbo ambazo zilikatazwa na BASATA.

Wimbo huo ulikatawa kabisa kupigwa eneo lolote ulionekana kuimbwa na wabunge hgao walikuwa nchini burundi baada ya kuibuka kidedea walipokuwa wakishindana katiika michuano nchini humo.

Lema anasema kuwa wimbo huo ambao ulitangazwa kuwa ni kinyume cha maadili haukupaswa kuimba hata na watu ambao ni viongozi hivyo alimtaka spika kuchukiliwa hatua za kinidhamu na wenzake wote kwa sababu ya kukiuka sheria na taratibu za nchi.

Lema anasema kuwa yeye baada ya kuona wimbo huo alisikitika sana na hata mke wake alisikitika sana.

Ikumbukwe kuwa wimbo huo haukuchukua siku nyingi katika mitandao ya kijamii na you tube kwa upande wa tanzania kwa sababu baada ya kutoka ulikuja kuonekana kuwa hauna maadili ya kijamii.

Nataka Kuoa, Imetosha Sasa Nimefanya Vingi :-Diamond Platinumz

Msanii diamond platinumz amefunguka na kusema kua kwa ke sasa imetosha kufanya yale aliyowahikuyafanya kwa muda mref na kuanzia sasa anaanza kuanda mikakati ya kufunga ndoa mwakani .

Akitaja mpaka siku yake ya kufunga ndoa, Diamond anasema kuwa ndoa yake hapo mwakani itaanza siku ya valentne day ambayo itakuwa siku ya jumatano na ndoa iyo itaendelea mpaka wikiend yot itakapoisha.

Diamond anasema kuwa swala la kuamua kuoa linakuja pale ambapo anaona kabisa kuwa alishapitia mambo mengi sana yanayohusiana na starehe na wala hana haja ya kuendelea kutafanya , lakini pia amekuwa na kila sababu yakuoa kwa sasa.

Mpaka anaongea hayo yote hajaweka wazi kuwa ni mwana mke gani atakae muoa lakini kwa sasa yuko katika mahusiano na mwanadada kutoka kenya anaejulikana kama tanasha.

akiongea na wasafi tv, diamond anasema “Nataka kuoa sana mwaka huu imetosha na nimesahafanya vitu vingi sana , nina kila sababu ya kuoa sasa imetosha.’

Diamond Atimiza Ahadi yake kwa Wana-Tandale.

Kama alivyokuwa ametoa ahadi ya kusaidia kwa watu aliwahi kusihi nao kwa muda mrefu  na ndio waliomlea , Msanii wa muziki wa kizazi kipya Nasib Abdul, Diamond Platinum ameshakamilisha ahadi yake ya kuwapatia kadi ya huduma ya bima ya afya wananchi wa Tandale.

Diamond aliwahi kutoa ahadi hiyo wakati wa sherehe yake ya kuzaliwa ya kuwa angewapatia kadi hizo wananchi 1000 wa eneo hilo ikiwa ni sehemu ya mchango wake kwao.
Wakazi hao wamepewa msaada huo wa bima ya afya kupitia kampuni ya bima ya Resolution Insurance ambapo Mkurugenzi Mtendaji wake Maryann Mugo alibainisha kuwa huduma hiyo ni kwa ajili ya watu wanne kwenye familia.Alisema,”sisi tunapenda kuwahudumia wananchi kujipatia huduma nzuri za afya na kwa kile alichokifanya msanii Diamond kuwasaidia wakazi hawa huduma ya bima basi ni fahari kubwa kwetu”.
Kwa upande wake msanii Diamond aliyewakilishwa na dada yake Esma kwenye makabidhiano hayo aliwataka wananchi wa Tandale kutumia vema huduma za bima hiyo na kujiwekea akiba ya fedha ili mwisho wa siku huduma hiyo ya mwaka mmoja ikiisha waweze kujihudumia kama kawaida

Diamond Kutambulisha Kifaa Kipya.

Msanii Diamond Platinum hata baada ya kutoa povu kuwa amekuwa akizushiwa kutoka na kila msichana anaekuwa nae karibu amezua tena gumzo baada ya kuweka  kuweka clip ikionyesha amendika jina la mwanamke mmoja anaejulikana kwa jina la tanasha.

Mwanadada huyo mrembo anaesemkana kutoka Kenya ambae ni mtangazaji lakini pia ni video vixen na aliwahi kutokea katika wimbo wa Alikiba wa nagharamia , anasemwa kuwa katika mahusiano na wanamuziki huyo mkubwa mwenye sifa ya kubadili wanawake kila kukicha.

katika snapchat yake, Diamond alionyesha kuchra jina la mwanadada huyo Tanasha huku akisema kwa nguvu na kujirekodi kuwa “I LOVE YOU TANASHA AND I MISS YOU ” huku maneno hayo yakiwa yameandikwa katika mchanga wa bahari.

Hata hivyo Diamond alimtambulisha mwanadada huyO katika tamasha a wasafi festival Mtwara kama shabiki yake kutoka Kenya.

Mashabiki Wamliza Diamond Cheni ya Milion 40

Mashabiki wa msanii Diamond katika mkoa wa Mtwara wamemliza msanii wao baada ya kumkwapua cheni ya shiling milion 40 ikiwa shingoni mwake baada ya kuvua bila ya yeye mwenyewe kujijua siku ya kuwasili mtwara.

Diamond ambae alionekana akiwa ma shamrashamra za kupokelewa na mashabiki zake huku akizunguka nao katika kila mtaa mkoani Mtwara aamesema alivaa cheni hiyo lakini hakujua kama linaweza kutokea lolote kama hilo lakini kwa sababu ni mashabiki hakuna namna wanaweza kuitafuta tena.

Diamond alikuwa Mtwara na timu yake kwa ajili ya kufanya show iliyozinduliwa wikiendi hii na kuanza kufanyika karibia mikoa yote ya Tanzania.

Diamond Kuwapandisha Mademu Zake Watano Mtwara.

Wasanii wa kike maarufu waliowahi kutoka kimapenzi na msanii Diamond Platinumz wote wanategemewa kupnada jukwaani siku ya November 24 mwaka huu katika uwanja wa Nangwanda Sijaona mkoani Mtwara katika tamasha laWasafi festival.

Wanawake hao ambao kwa sasa kila mtu amekuwa na mahusiano yake na huku wengine kusemwa kuwa inawezekanawakwa bado wako katika mahusiano na msanii huyo wanategemewa kuwepo katika tamsha hilo ili kulinogesga zaidi.

Haijulikana tension ya wanawake hawa itakuwaje hasa ukizingatia kuwa wote waliwahi kuwa katika mahusiano na msanii huyo na haijulikana makubalino ya wasanii hao wote wa kike ukizingatia kuwa watakutana wote katika tamsha hilo.

Mboso Athibitisha Diamond Kuwa Single

Msani kutoka WCB mboso amefunguka katika moja ya comment alizokuwa akijibishana na bosi wake Diamond kuhusu wanawake huku diamond akimwambia kuwa anatka kumuona mwanamke ambae Mboso alikuwa akimtakia siku ya kuzaliwa na ndipo Mboso aliposema kuwa tamleta wa sababu anajua kuwa bosi wake ni Single boy.

Ikumbukwe kuwa Diamond amekuwa na wasichana wengi sana hapo katika na nyjma ana amekuwa aicahana  aneo sana hata hivyo hivi karibuni alisikika yupo katika mahusiano na mwanadada kim nana na baadae kusikia kuwa aliachana na mwanamke huyo na hata kumrushia mabegi nje.

Baada ya hapo mama wa msanii huyo alithibitisha kuwa waili hao hawajaacha  na hata mwanadada huyo yuko tayari kuadili dini kwa ajili ya mtoto wake.

Hii sio mara ya kwanza kwa Diamond kusemwa kuwa yuko single kwa sababu hiyo imekuwa kama tabia yake  kuwa na wanawake tofauti tofauti tangu alipoachana na zari maisha ya msanii huyo yamekuwa Tofauti sana.

 

Haji Manara Awachana BASATA Baada ya kuwafungia Wasafi.

Msemaji wa Simba SC, Haji Manara amefunguka mwanzo mwisho kuhusiana na kufungiwa kwa nyimbo ya Rayvanny aliyomshirikisha Diamond ya Mwanza.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Manara amesema; ”Sanaa kwa maana ya Art na hasa ya Mziki ni fumbo ni kitu kinachorandama na kuimba kwa njia za mafumbo,.

Siku za nyuma kuna bendi iliimba nyimbo ikiitwa Makumbele,hebu itafsiri moyoni hilo neno MAKUMBELE,lazma utaona ile bendi ilitukana ila kwao wao na kiuhalisia c tusi ni jina tu kama Yale ya kijapan.

Basata endeleeni kusimamia maudhui kiweledi ili hata anaefungiwa nyimbo yake au film yake asipate hata pakutokea,.

Hv Issa Matona leo angekuwa hai na zile nyimbo zake zenye maudhui mazuri zingepona kweli?

Kama sheria inaruhusu kuapeal maamuzi ya Basata ningeshauri kwa hili la nyimbo ya Nyegezi,Wasafi do that!!

Hv mtu siku akiimba neno linataja kitongoji cha Mchamba wima au Dole nyimbo yake itapona kweli? Mm nilipanga kutoa featuring na Chibu @diamondplatnumz inakisifia kitongoji cha Kunduchi na hoteli zake,sijui kama Basata watairuhusu!! Ahhh nimeikumbuka lile songi la Nyama ya Bata!!

Tasfiri ni wew mwenyewe lakini maudhu anayo msanii (sheria ifuate lakini sio kwa shuruti)

ikumbukwe kuwa sakata la diamond kufungiwa nyimbo aliyoshirkishwa na msanii Rayvanny limekuwa la muda mfuoi sana tang wimbo ho kutoka.

WCB walimwa faini milioni 9 na BASATA.

Baraza la Sanaa Tanzania limewatoza faini ya shilingi milion 9 wasanii Diamond Platinumz, Ray vanny pamoja na lebo yao ya wasafi kwa kosa la kukiuka maadili ya baraza hili hasa awalipoambiwa kuufuta wimbo wa mwanza katika you tube channel kabla ya saa 10 siku ya November 12 lakini mapka inafika saa moja wimbo huo bado ulikuwa ukionekana katika channel hiyo.

BASATA ambao walitoa adhabu ya kufumgiwa kwa wimbo huo kutokana na sababu za kinidhamu na maadili ya wimbo huo , na kuwataka wasanii hao kuufuta na kutangaza kutokupigwa katika vyombo vya habari na burudani lakini wasanii hao hawakufanya hivyo badala yake waliendelea kuupigia promo na hata kuupiga katika channel yao.

BASATA wameamuru msanii Rayanny na Diamond kulipa faini ya milion 3 kila mmoja lakini  pia channel ya wasafi pia kutoa milion 3 na kufanya kuwa jumla ya milion 9.Godfrey Mungereza amesema kuwa vyombo vyote vya habari vinatrakiwa kupata taarifa hiyo kuwa wimbo huo kwa sasa haupaswi kupigwa la sivyo faini zitawahusu.

Mkubwa fella ambae ndio meneja mkuu wa wasanii hao anasema kuwa amekubaliana na adhabu hiyo na kupokea maamuzi ya BASATA na kuwataka wasanii kujua kuwa kuna muda wanakuwa wanakosea na kutakiwa kusikiliza wanayoambiwa na wakubwa na viongozi pia.

Mkubwa fela anasema kuwa katika kila mafanikio kuna kuwa na changamoto hivyo wasanii wanapswa kujifunza kukabiliana na kukubali changamoto hizo.

Dudubaya Hakulizishwa na Majibu ya Alikiba kwa Diamond

Siku chache zilizopita , msanii kutoka wcb alitangaza na kuomba kuwa katika tamsha kubwa linaloenda kufanyika mwezi huu la Wasafi Festival basi msanii mwenzao mkubwa ambae mara kadhaa imekuwa ikisikika kuwa wamekuwa na ugomvi  kuudhulia tamasha hilo ili kuwafurahisha mashabiki zao.

Lakini katika majibu yake , Alikiba alisema kuwa kwa sasa hawezi kufanya hivyo kwa sababua mekuwa na majukumu mengi sana kiais kwamba hatoweza kuwepo katika tamasha hilo lakini alisema kuwa angeweza kuwapa udhamini  kupitia kinywaji chake cha MO FAYA.

Baada ya kukaa na kuongea na uongzi wa pande zote mbili waliweza kukualiana juu ya hilo, hata hivyo kukutana kwa wasanii hawa ilikuwa ndoto ya mashabiki wengi sana

Msanii Dudubaya alimaaruf kama konki master amefunguka na kusema kuwa hajafurahishwa kabisa na majibu ya msanii alikiba kwa sababu kujibu hivyo ni kama kuonyesha dharau kuwa tamasha hilo sio muhimu kuliko mambo yake.

Dudubaya anaonekana ku-mind majibu hayo na  kumseama alikiba kuwa amekuwa msanii mwenye dharau kwa wasanii wengine, hata hivyo Dudu baya nae ni mmoja wa wasanii watakao tokea katika tamasha hilo.