Sabby Angel Akataa Ndoa, Agoma Kutolewa Mahari ng’ombe 10

Mwanadada Sabby Angel amegoma kuolewa kwa mahari ya milioni 1 na ngombe 10 ilhali alisema kuwa anataka kufanya search kwa ajili ya kupata mwanaume wa kumuoa.

Tarifa zinasema kuwa mwanaume huyo anaetokea kanda ya ziwa huko mkoani mara amaetaka kutoa mahari ya shilingo milion 1 na ng;ombe 10 lakini mwanadada huyo hakutaka kuolewa na kijana huyo

Hata hivyo sababu inayotajwa chini ya kapeti ya mwanadada huyo kukataa kuolewa na kijana huyo ni kwa sababu mwanaume huyo ametaka mwanadada huyo kuhamia kijijini  na kufanya shuguli za kilimo na ufugaji na kuachana na mambo ya mjini.

Hii ni siku chache tangu mwanadada huyo kutamngaza kuwa anataka kuolewa kwa ngombe 50 na mbuzi kumi kama mahari.

Vidume Wapigana Kisa Sabby Angel

Taharuki imezuka mtaani baada ya vidume wawii maridadi kuonekanawakipigana mtaania kisa penzi la mwanadaad Sabby angel ambae hapo awali aliwahi kutangaza kuwa kama atatokea mwaaume mwenye mapenzi ya kweli na yeye basi atataka kufunga ane ndoa lakini pia atamnunulia gari.

Hata hivyo baada ya habari hzio kumfikia Sabby mwenyewe alishtuka na kusema kuwa kwa sababu wanaume hao wanaonekana kujitokeza wengi basi na yeye ataamua kufanya usaili ili kujiridhisha na kumpata mmoja ambae atamuona yeye anamfaa.

Hata hivyo mashabiki wamemtaka mwanadada huyo kufanya kama kipindi ambacho licha ya kupata anaemfaa lakini pia anaweza kutumia wazo lake kama njia ya kujipatia pesa.

 

 

 

Sabby Angel Kujiunga na CHADEMA

Mwanadada Sabby Angel ameamua kujiingiza katika siasa huku akisema kuwa uamuzi huo ameuchukua baada ya kuona kuwa kuna jamii kubwa inamuhitaji kuwatumia watu hao.

Akiongea jana alipokuwa anajiunga rasmi na chama cha upinzani cha CHADEMA , Sabby Angel anasema kuwa amejiunga na chama ichi huku kazi yake kubwa sasa ni kuhamasisha na kuwafumbua wanawake kuhusu haki zao.Akiongea na waandishi wa habari, Sabby alisema

Nimejiunga rasmi na Chadema Nitakuwepo kwenye sector ya BAWACHA(Baraza La Wanawake CHADEMA) na kushiriki kutoa seminars wanavyama wanawake kuhusu Haki za kina mama na kadhalika. Nimejiingiza kwenye siasa Rasmi Nina matarajio ya kupigania Viti maalum huko mbeleni,Kazi za Usanii nitaendelea Nazo Kama kawaida. Pia natokea kwenye Familia ya Wanasiasa kuanzia bibi, wajomba hata mama,japo tuko vyama tofauti” amesema Sabby na kuongeza”I needed a Platform where I can give back to my community Kama kioo cha jamii in a positive manner especially to women and children and Chadema gave me that platform

 

Mastaa Wapunguze Kudanga Waige Mfano Wa Lulu- Sabby Angel

Msanii wa muziki wa Bongo fleva na Bongo Movie Sabrina Omary maarufu kama Sabby Angel amefunguka na kusema anamkubali sana Lulu na ni mfano wa kuigwa na kuwataka mastaa waige mfano wa Lulu.

Kuanzia Siku ya Jumapili Lulu ametawala headlines zote baada ya kuvalishwa pete ya uchumba  na mpenzi wake wa siku nyingi ambaye ni CEO wa EFM, Majizzo.

Sabby Angel  amefunguka na kumpongeza Lulu kwa jambo alilofanya kwani badala ya kudanga na kuhangaika ametulia na mwanaume mmoja na sasa wapo mbioni kufunga ndoa.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Sabby Angel ameandika:

Nimefurahi sana Tena sana kuamka na kuona picha za posa ya Lulu, For real am so happy anaonyesha mwenendo mwema yaani she is a role model. Mwanamke lazima stara. Mastaa wengine wafuate Mfano. Sio kudanga tu na kiki. Kuwa kioo cha jamii lazima uwe Mfano kwani mabinti wengi wadogo hutangalia sisi na kufuata tunayofanya”.

Sabby Angel ametengeneza headlines baada ya kuolewa ndoa yake ya tano baada ya Kuachika mara nne tayari.

Sabby Angel Afunga Ndoa Yake Ya 5

Msanii wa muziki wa Bongo fleva na Bongo Movie Sabrina Omary maarufu kama Sabby Angel amefanikiwa kufunga Tena pingu za maisha hivi karibuni huku hii Ikiwa ndoa yake ya tano kuolewa.

Global Publishers wanaripoti kuwa Sabby mwenye umri chini ya miaka 30, anadaiwa kupigwa ndoa ya 5 kwa siri kubwa ili mwanaume aliyemuoa asijue kama alishaolewa zaidi ya mara moja.

Mtu wa karibu wa Sabby ambaye alitoa Habari za  Ndoa hiyo ambayo iliyofanyika jijini Nairobi nchini Kenya hivi karibuni na ilikuwa ya watu wachache mno na ndugu wa Sabby walikuwa ni wawili tu.

Mimi nilijikuta nipo kwenye harusi hiyo kwa kuwa kuna rafiki wa huyo mwanaume aliyemuoa ambaye ni mtu wangu. “Nilishangaa mno maana ninajua huko nyuma Sabby alishaolewa mara nne”.

Baada ya tetesi hizo gazeti la Ijumaa Wikienda ili mwaka Sabby Angel ambaye yupo Nchini Kenya ambapo amedai haoni tatizo Kuolewa ndoa ya tano kwani ana jioni kama mwanamke mwenye Bahati na taarifa za kwamba yeye anamficha mume wake kuhusu ndoa yake sio za kweli kabisa.

Sabby Angel Amtaka Maimartha Kutoingilia Mambo ya Hamisa Na Zari

Mwanadada Sabby Angel ameamua kumpa ushauri wa bure mwanamke mwenzie maimartha wa jesse kufuatia migogoro inayoendelea katika mitandao kati ya Hamisa Mobeto na Zari The Bossy kila siku katika mitandao ya kijamii.

Sabby anamwambia maimartha kuwa ni bora kukaa kimya na kuwaangalia wawili hao wakifanya wanayoyafanya kuliko kukaa na kuingilia kwa sababu wao ni wanawake wa mwanaume mmoja ambae kila mtu anamtoto na mwanaume huyo ( Diamond).

Maimartha asiiingilie kati ya hamisa na zari kwa sababu wote ni wazazi wenzie na DIAMOND ,  na hata yeye mwenyewe haonekani kuwa na  msimamo na mwanamke yoyote kati yao kwaio kuingilia ni kujichoresha tu.

Maimartha ambae hapo wali alikuwa akimshambulia sana Hamisa lakini sasa hivi anaonekana kuwa na chuki na zari na amekuwa akimsema katika ukurasa wake wa instagram.

Sabby Angel Adai Anabebea Mimba Mastaa Kwa Mil.20

Msanii wa filamu za Bongo Movie Sabrina Omary maarufu kama Sabby Angel ameibuka na kudai kuwa Yupo Tayari kubebea mimba mastaa ambao hawana uwezo wa kuzaa.

Siku chache zilizopita Mtangazaji wa Clouds Fm, Diva The Bawse aliweka wazi matatizo yake ya kutozaa na kuomba msaada kwa Watanzania toka hapo Sabby Angel naye ameibuka na kudai Yupo Tayari kusaidia mastaa.

Kwenye mahojiano na Global Publishers , Sabby aliyewahi kudaiwa kubanjuka kimapenzi na mastaa kadhaa akiwemo Alikiba alisema kuwa, anajua kuwa wapo mastaa wa kiume walio na wapenzi wao wenye matatizo kwenye kizazi kwa hiyo yupo tayari kuwabebea mimba.

Sitafuti kiki ila nimeeleza kitu ambacho nimekuwa nakifikiria muda mrefu baada ya kuona watu wengi wakiwemo mastaa hapa Tanzania kuwa na tatizo katika kizazi, mara mimba zinatoka na wengine kushindwa tu kubeba kwa sababu mbalimbali na ndiyo maana nikaamua kuongea hivi.

Zipo njia za kitalaamu unapandikiza mwisho wa siku unakuwa na mtoto wako ila kwangu kwa sharti moja tutasaini mkataba ambao sio chini ya milioni ishirini ili kupandikiza hizo mbegu kwa kuwa si unajua uzazi unachakaza sometimes kwa hiyo lazima nipate hela za kujitengeneza”.

 

Sabby Angel Adaiwa Kutekwa na Penzi la Staa Nchini Kenya

Msanii wa Bongo movie aliyegeukia muziki wa Bongo fleva Sabrina Omary maarufu kama Sabby Angel anadaiwa kutekwa na Penzi la staa wamuziki nchini Kenya Khaligraph.

Kwa muda mrefu sasa Sabby Angel amedai amehamisha makazi yake nchini Kenya kwa ajili ya kufanya sanaa yake lakini inasemekana amehamia kule kwa ajili ya penzi la staa wa nchini humo Kaligraph Jones.

Gazeti la Ijumaa Wikienda wanaripoti kuwa Kwa mujibu wa chanzo chetu cha karibu kutoka Kenya ambacho kinafanya kazi kwa karibu na Khaligraph, wawili hao wapo kwenye uhusiano na ‘root’ nyingi za Kenya za Sabby anakwenda kwa mshikaji huyo.

Baada ya tetesi hizo kusambaa Kwenye mitandao ya kijamii gazeti hilo lilimsaka Mrembo huyo na alifunguka haya:

Jamani watu mbona wambea hivyo! Kiukweli mimi nipo Kenya na kwa sasa muziki wangu ninafanyia huku lakini kuwa na uhusiano ha Khali, si kweli. Nina mtu wangu huku nninayefanya naye kazi lakini si yeye“.

Lakini Sabby alipotakiwa kumtaja huyo mpenzi wake alishindwa na kukata kata kata.

 

Ex Wa Ali Kiba Adai Na Yeye Anataka Kuolewa Nje Ya Nchi

Msanii wa Bongo movie aliyegeukia sanaa ya Bongo fleva Sabrina Omary ‘Sabby Angel’ ambaye pia alisemekana kuwa na uhusiano wa kimapenzi na staa wa Bongo fleva Ali Kiba amedai anataka kumlipizia Ex wake huyo kwa Kuolewa nje ya nchi pia.

Wiki chache zilizopita Ali Kiba alifunga ndoa na Amina Khaleef kutoka Mombasa Kenya na sasa Ex girlfriend wake Sabby Angel ameapa lazima naye aolewe na mwanaume kutoka nje ya nchi.

Kwenye mahojiano na Star Showbiz, Sabby Angel  amesema  siyo kwamba anaumia Kiba kufunga ndoa nje ya nchi lakini kwa mtazamo wake ameona wanaume wengi Bongo wababaishaji tu.

Yaani lazima nilipe hili, alichokifanya Kiba ni sawa lakini na mimi kama msanii naangalia hukohuko, lazima nitaolewa nje ya nchi sitaki Bongo wababaishaji wengi, wana maneno ya mdomoni tu vitendo hakuna”.

Sabby Angel ambaye hivi sasa makazi yake hapo nchini Kenya ambapo anafanya muziki ameshawahi Kuolewa mara mbili miaka ya nyuma lakini akaachika ndoa zote.

Ex wa Ali Kiba Sabby Angel Amtolea Povu Zito Staa Huyo

Muigizaji wa Bongo movie Sabby Angel ameibuka na kumtolea povu zito Staa wa Muziki wa Bongo fleva Ali Kiba baada ya kauli tata aliyoitoa kuhusu warembo wa Bongo.

Sabby Angel alishawahi kukiri kuwa na mahusiano ya kimapenzi na Ali Kiba siku za nyuma kidogo ameshindwa kuvumilia na kumpa ukweli Staa Huyo aliyeoa hivi karibuni.

Hivi karibuni Kwenye mahojiano aliyofanya na Clouds Fm, Ali Kiba alifunguka kuwa sababu ya yeye kuwaacha warembo wote wa Bongo na kwenda kuoa Kenya ni kwa sababu wasichana wengi wakibongo wanaendekeza vigodoro na wengi sio wasomi.

Sabby Angel ameonekana kukasirishwa na kauli hiyo kutoka kwa mpenzi wake wa zamani na ameandika ujumbe huu:

Ni jambo la Kheri kwa Ali K kuoa lakini sijapenda comment yake eti kusema eti Tanzania hakuna wanawake wasomi wa kuoa.

Bonafsi kama mtu umeamua kuoa we oa tu kwa manufaa yako lakini sio kukashifu wanawake wote. Kwani hapo wakati anatoka na hao wanawake wa Kitanzania hauona hayo mapungufu? Kwani watu wanaoa vyeti? Wanaoa kukimu mahitaji yao binafsi na kuzaana?.

Hiyo ni kumaanisha hata wazazi wetu wa kike na hata mama yake ni wale wale it is very immature”.

Ali Kiba alifunga ndoa na binti kutoka Mombasa Kenya wiki chache zilizopita.

Bob Junior Anasakwa na Polisi Baada ya Kumtembezea Kipigo Cha Mwizi Mpenzi Wake Sabrina

Mwanmuziki mkongwe wa muziki wa Bongo fleva, Bob Junior amekumbwa na skendo mpya ya kumpa kipigo cha haja aliyekuwa mpenzi wake Muigizaji wa Bongo movie Sabrina au maarufu kama Sabby angel.

Sabrina na Bob Junior wamekuwa Kwenye Mahusiano kwa miaka zaidi ya nane ambapo inadaiwa Bob Junior amekuwa naye Kwenye Mahusiano hata kabla ya kuoa na inadaiwa hata baada ya Kumuoa aliyekuwa mke wake Halima aliendelea kuchepuka na Sabby.

Kwenye Interview aliyofanya na Shilawadu ya Clouds Tv, Sabby amefunguka na kudai Bob junior amempiga kipigo cha mwizi baada ya kumwambia anataka kuvunja Mahusiano yao kwani alikuwa haoni kama wana future pamoja.

Baada ya habari hizi kuenea Shilawadu walimtafuta na kumuuliza kama ni kweli alipoweka na Bob Junior Sabrina alifunguka:

Kweli kuna matatizo yametokea, unajua mtu huwezi kulazimisha mapenzi nikikwambia it’s over its over lakini yeye anaforce mapenzi ananipiga mambo ya zamani kwanza siku hizi mwanamke hapigwi unanipiga umenitolea mahari? Nimeona hana future nikaamua kumuacha lakini mtu hataki kuelewa anakuja ananipiga mi naona kama naonewa”.

Sabrina ameelezea kuwa Bob Junior Alifika nyumbani kwa ndugu yake na kuanza kumlazimisha kuondoka naye baada ya yeye kukataa Akaanza kumpiga Ngumi, Mateke akamkalia na kumuumiza vibaya mno.

Sabrina aliweka wazi kuwa aliamua kumuacha Bob Junior kwani ni mtu ambaye hafikirii maendeleo yeye anapenda kufanya starehe na kunywa pombe wakati yeye anataka maendeleo.

Sabrina ameweka wazi kuwa Bob Junior anasakwa na polisi kwa hivi sasahivi maana ana RB yake.

“I think Diamond anajua mapenzi” Sabby Angel aeleza nia yake ya kutaka kufanya mapenzi na Diamond

Muigizaji wa filamu za Bongo Sabby Angel ameeleza nia yake ya kutaka kufanya mapenzi na Diamond Platnumz. Mrembo huyo alisema kua anapendezwa na vitu vingi kwa Diamond ikiwemo muonekano wake, vitendo na jinsi ambayo anamshugulikia mpenzi wake. Sabby pia alisema ameskia uvumi kuwa Diamond ni gwiji katika ngono.

“I personally think Diamond anajua mapenzi, Sio kwa muonekano tu but kwa vitendo. How he treats his women is Dreamy. I totally like Diamond Platnumz he is the perfect example of a real Gentleman…plus rumour has it he is totally Good in Bed but I just Heard,” Sabby Angel alisema.

Sabby Angel

Muigizaji huyo alikiri kuwa hakuna mwanaume ambaye amewahi kumfikisha kileleni wakifanya tendo la ndoa akiwemo Ali Kiba ambaye aliwai kuwa na mahusiano naye.

“To be honest and sincere Sijafaidi raha ya mapenzi mpaka huu umri niliofikia ..HAKUNA Mwanaume aliyewahinifikisha Kileleni. Naamini bado sijaona raha ya mapenzi and am really hoping to get to experience that soon or later.”